Wilaya ina eneo la kilometa za mraba 3,572 kati ya hizo, Km2 803.7 zinafaa kwa malisho ya mifugo. Wilaya ya Chato ina jumla ya mifugo kama ifuatavyo Ng’ombe wa asili 116,659, Ng’ombe wa maziwa 17, Mbuzi wa asili 159,436, Kondoo 23,782, Kuku wa asili 252,033 Kuku wa kisasa 672, Nguruwe 12,455 na Bata 39,811.
Ujenzi wa kituo cha unenepeshaji mifugo unaendelea katika kijiji cha Itale.
Mradi wa madume bora uko katika kata za Nyamirembe, Bwongera, Kigongo na Buziku. Pia Sekta ya mifugo ina jumla ya vibanio 9, majosho 11 na malambo 7.
Ujenzi wa Soko la Kimataifa la Samaki Kasenda ulipata ufadhili kutoka Ubalozi wa Japan wa TSh 320 Milioni, zilizotumika kujenga ghala la kuhifadhia samaki na soko la kuuza mazao mchanganyiko, ambapo mpaka sasa ujenzi huo umekamilika.
3.1.1.2 MIRADI YA UWEKEZAJI
Wilaya ya Chato imefanikiwa kupata wawekezaji kwenye sekta ya Mifugo ambapo kampuni mbili zinaendelea na uwekezaji kwenye sekta ya nyama.
Kampuni ya Alpha Choice ya Mwanza inayowekeza kwenye unenepeshaji mifugo, inaendelea na unenepeshaji na upanuzi wa shamba kwa kujenga miundombinu mbalimbali ya uwekezaji.
Kampuni ya Kahama Oil Mill (KOM) ya Kahama inawekeza kwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata nyama na mazao yake ambapo imefikia hatua ya FIDIA ya ardhi.
CHANGAMOTO ZINAZOKABILI SEKTA YA MIFUGO
Idara kukosa gari kwa ajili ya shughuli za ugani. Pikipiki 10 zilizopo hazitoshelezi kutoa huduma za ugani kwa kata zote23 na vijiji 115 zilizopo.
Upungufu mkubwa wa maafisa mifugo hasa ngazi ya kata. (waliopo ngazi ya kata na vijiji ni 14, mahitaji 119, waliopo ngazi ya wilaya ni 5).
Uhaba mkubwa wa maeneo ya malisho ya mifugo kutokana na kutotengwa kwa maeneo ya malisho kwa ajili ya wafugaji.
Magonjwa ya mifugo kama vile ugonjwa wa kideri kwa kuku, Chambavu, homa ya mapafu, na ugonjwa wa miguu na midomo kwa ng’ombe.
HATUA ZINAZO CHUKULIWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
Kutoa elimu na mafunzo kwa wafugaji yanayolenga kuboresha uzalishaji wa mifugo.
Kutoa chanjo ya magonjwa mbalimbali ya Mifugo.
Kuomba ajira mpya ya wataalam wa mifugo kulingana na Ikama na ongezeko la bajeti.
Kuandaa na kutenga bajeti kwa ajili ya ununuzi wa vyombo vya usafiri
Zoezi la upigaji chapa lilianza na Uhamasishaji ambao ulifanyika kuanzia tarehe 17/05/2017 hadi 24/05/2017 ikihusisha kamati ya ulinzi na usalama Wilaya, Afisa mifugo na Uvuvi Wilaya na baadhi ya wakuu wa idara. Timu hii ilifanya uhamasishaji kwa kuhitisha viongozi wote ndani ya tarafa zote tano za Wilaya ya Chato.
Uhamasishaji kwa awamu ya pili ilifanyika kupitia viongozi katika maeneo yao, wataalamu wa mifugo toka wilayani, wataalamu ngazi ya kata, waheshimiwa madiwani, wenyeviti wa vijiji, na wenyeviti wa vitongoji.
Zoezila rasmi ya upigaji chapa lilianza tarehe 03/07/2017 kijiji cha Ilelema kata ya Iparamasa na kukamilika tarehe 11/11/2017 kata ya Chato.
Jumla ya ng’ombe waliopo Wilayani kulingana na takwimu zilizopo Halmashauri ni 116,659, ng’ombe waliopigwa chapa ni 105,167 sawa na asilimia 90.15. Asilimia iliyobakia ni ndama chini ya miezi sita ambao hawakupigwa chapa, hivyo kufanya zoezi la lkupiga chapa kuwa endelevu.
MKAKATI WA KUENDELEZA ZOEZI LA CHAPA
Kila Kijiji kitapewa mhuri mmoja kwa ajili ya kuendeleza zoezi la chapa kwa ndama wanaofikisha umri wa miezi sita, pia chapa zinazofutika kutokana na kutoshika vizuri wakati wa zoezi. Taarifa kamili ya upigaji chapa mifugo ni kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.
TAARIFA YA UPIGAJI CHAPA WILAYA YA CHATO |
|||||
|
|
|
|
|
|
NA. |
TARAFA |
KATA |
IDADI YA VIJIJI |
JINA LA KIJIJI |
NG'OMBE CHAPWA |
1
|
KACHWAMBA
|
KACHWAMBA
|
3
|
IDOSERO
|
701
|
IPANDIKILO
|
744
|
||||
KACHWAMBA
|
480
|
||||
JUMLA NDOGO
|
1925
|
||||
ICHWANKIMA
|
3
|
ICWANKIMA
|
426
|
||
IMALABUPINA
|
484
|
||||
BUSALALA
|
634
|
||||
JUMLA NDOGO
|
1544
|
||||
KASENGA
|
6
|
IGALULA
|
713
|
||
KASENGA
|
455
|
||||
MWEKAKO
|
300
|
||||
KIHULA
|
843
|
||||
MAGILI
|
282
|
||||
MWANGAZA
|
329
|
||||
JUMLA NDOGO
|
2922
|
||||
ILEMELA
|
4
|
NYAMBOGO
|
123
|
||
ILEMELA
|
440
|
||||
KANYAMA
|
1637
|
||||
NYANG'HOMANGO
|
411
|
||||
|
|
JUMLA NDOGO
|
2611
|
||
JUMLA KUU YA TARAFA |
9002
|
||||
2
|
NYAMIREMBE
|
NYAMIREMBE
|
4
|
KALEBEZO
|
1589
|
NYAMIREMBE
|
483
|
||||
NYAKAKARANGO
|
516
|
||||
NYAMBITI
|
1885
|
||||
JUMLA NDOGO
|
4473
|
||||
KIGONGO
|
8
|
KIBEHE
|
1065
|
||
NYISANZI
|
502
|
||||
BWAWANI
|
526
|
||||
KAKANSHE
|
369
|
||||
BUHUNGU
|
301
|
||||
KIKUMBAITALE
|
124
|
||||
BUKAMILA
|
753
|
||||
BUTARAMA
|
329
|
||||
JUMLA NDOGO
|
3969
|
||||
BWONGERA
|
5
|
BUPANDWAMPULI
|
1437
|
||
MKOLANI
|
342
|
||||
KATETE
|
409
|
||||
BWONGERA
|
352
|
||||
BUGWEGO
|
265
|
||||
JUMLA NDOGO
|
2805
|
||||
MUGANZA
|
9
|
NYABILELE
|
634
|
||
RUTUNGURU
|
609
|
||||
MAJENGO
|
163
|
||||
KATEMWA
|
120
|
||||
MWELANI
|
260
|
||||
NYABUGERA
|
298
|
||||
IBANDA
|
146
|
||||
MUGANZA
|
170
|
||||
MKOMBOZI
|
129
|
||||
|
|
JUMLA NDOGO
|
2529
|
||
JUMLA KUU YA TARAFA
|
13776
|
||||
3
|
BUZIRAYOMBO
|
CHATO
|
4
|
MKUYUNI
|
52
|
CHATO
|
23
|
||||
KITELA
|
57
|
||||
MSILALE
|
25
|
||||
JUMLA NDOGO
|
157
|
||||
MUUNGANO
|
5
|
LUBAMBANGWE
|
1023
|
||
MLIMANI
|
420
|
||||
MUUNGANO
|
391
|
||||
KAHUMO
|
784
|
||||
ITALE
|
212
|
||||
JUMLA NDOGO
|
2830
|
||||
BWINA
|
3
|
MULUMBA
|
335
|
||
BWINA
|
246
|
||||
MBUYE
|
339
|
||||
JUMLA NDOGO
|
920
|
||||
BUKOME
|
6
|
BUKOME
|
522
|
||
NYABILEZI
|
1723
|
||||
KATALE
|
948
|
||||
BUZIRAYOMBO
|
635
|
||||
NYAKATO
|
919
|
||||
MKUNGO
|
949
|
||||
JUMLA NDOGO
|
5696
|
||||
KATENDE
|
3
|
CHABULONGO
|
535
|
||
KATENDE
|
437
|
||||
NG'WABARUHI
|
692
|
||||
JUMLA NDOGO
|
1664
|
||||
ILYAMCHELE
|
3
|
KAWIMYOLE
|
300
|
||
ILYAMCHELE
|
592
|
||||
KISESA
|
443
|
||||
|
|
JUMLA NDOGO
|
1335
|
||
JUMLA KUU YA TARAFA
|
12602
|
||||
4
|
BWANGA
|
BWANGA
|
4
|
BUKIRIGURU
|
375
|
BWANGA
|
3925
|
||||
NYARUTUTU
|
3144
|
||||
IZUMANGABO
|
492
|
||||
JUMLA NDOGO
|
7936
|
||||
MINKOTO
|
4
|
KALEMBELA
|
2566
|
||
ITANGA
|
550
|
||||
MINKOTO
|
1357
|
||||
KAKORA
|
340
|
||||
JUMLA NDOGO
|
4813
|
||||
BWERA
|
3
|
BUSAKA
|
1419
|
||
IGANDO
|
1589
|
||||
BWERA
|
1262
|
||||
JUMLA NDOGO
|
4270
|
||||
BUZIKU
|
6
|
NYAMPALAHALA
|
983
|
||
IHANGA
|
1242
|
||||
LWANTABA
|
931
|
||||
BUZIKU
|
258
|
||||
MAJENGO
|
168
|
||||
NYARUTEFYE
|
736
|
||||
JUMLA NDOGO
|
4318
|
||||
NYARUTEMBO
|
4
|
NYANTIMBA
|
3110
|
||
KANYINDO
|
2168
|
||||
NYARUTEMBO
|
1131
|
||||
KAKENENO
|
2177
|
||||
|
|
JUMLA NDOGO
|
8586
|
||
JUMLA KUU YA TARAFA
|
29923
|
||||
5
|
BUSERESERE
|
BUSERESERE
|
7
|
IMWELO
|
1063
|
MURANDA
|
1390
|
||||
BUSERESERE
|
59
|
||||
MAPINDUZI
|
97
|
||||
IBONDO
|
101
|
||||
BUYOGA
|
561
|
||||
MWABAGALU
|
977
|
||||
JUMLA NDOGO
|
4248
|
||||
BUTENGORUMASA
|
5
|
MUTUNDU
|
1158
|
||
BUTENGO
|
1252
|
||||
RUMASA
|
1471
|
||||
MWENDAKULIMA
|
1579
|
||||
BUTOBELA
|
776
|
||||
JUMLA NDOGO
|
6236
|
||||
IPARAMASA
|
8
|
LUDEBA
|
2148
|
||
MNEKEZI
|
976
|
||||
MWABASABI
|
5796
|
||||
SONGAMBELE
|
1239
|
||||
KINSABE
|
2477
|
||||
ILELEMA
|
1872
|
||||
IPARAMASA
|
508
|
||||
IMALABUPINA
|
1621
|
||||
JUMLA NDOGO
|
16637
|
||||
MAKURUGUSI
|
8
|
KIBUMBA
|
2026
|
||
MALEBE
|
564
|
||||
IMALAMAWAZO
|
580
|
||||
MABILA
|
725
|
||||
KAMANGA
|
536
|
||||
MSASA
|
508
|
||||
MAKURUGUSI
|
5528
|
||||
KASALA
|
2276
|
||||
|
|
JUMLA NDOGO
|
12743
|
||
JUMLA KUU YA TARAFA
|
39864
|
||||
JUMLA KUU
|
115
|
|
105167
|
||
|
|
|
|
|
|
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.