Wewe kama Utumishi wa Umma?
Unaweza kupata Hati ya Mshahara kwenye Mfumo wa Watumishi Portal ni lazima uzingatie yafuatayo;
1.Kujisajili kwenye Mfumo wa Watumishi Portal ambapo utapata Taarifa zako zote za Kiutumishi.
a)Fahamu Majina yak kamili.
b)Hakikisha una barua pepe(Kama Huna Unaweza kutengeneza kwa kutumia Gmail au Yahoo!).
c)Fahamu Check Namba yako.
Bofya hapa kujisajili http://www.utumishi.go.tz/watumishiportal/registration.php
Aidha Serikali imeendelea kuboresha mfumo wa upatikanaji wa Hati ya Mshahara kwa kupitia Mfumo mpya wa wa Government Salary Slip Portal" kwa kujisajili kwenye mfumo.
Kwenye Mfumo huu mpya kuna vya kuzingatia;
1.Check namba ya Mtumishi
2.Majina kamili kama yalivyo kwenye Mfumo wa Rasilimali watu unaitwa HCMIS jina lililozoeleka LAWSON
3.Tarehe ya kuzaliwa
4.Vote Code,Sub Vote Code,Namba ya Akaunti ya Benki unayopitishia Mshahara.
5.Fahamu pia Salary Scale,Salary Grade,na Salary Step
6.Barua Pepe( Email) ni muhimu kuwa nayo ili kuendana na kasi ya teknolojia.
Bofya hapa jisajili kwenye salaryslip https://salaryslip.mof.go.tz/manage/EmployeeRegistration
Kuingia kwenye Government Salary Slip Portal kwa wale Waliojisajili Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.