Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Chato limepitisha bajeti ya makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2012 ya kiasi cha shilingi 49,869,076,947 ambapo kiasi cha shilingi 2,936,534,000 ni fedha ambazo zinatarajiwa kukusanywa na Halmashauri kutoka kwenye vyanzo vyake mbalimbali vya mapato.
Kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Halmashauri ilikadiria kukusanya kiasi cha shilingi 52,184,131,192.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.