Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe. Deusidedith J. Katwale akiwa katika uzinduzi wa Tawila la SIMBA katika kijiji cha Kasenga katika Halmashauri ya Chato Mkoani Geita, ametoa agadir ya kuanzisha Lihi Maalumu itakayozishirikisha timu za ndani ya wilaya kuanzia ngazi ya kijiji ifikapl mapema mwezi June mwaka 2023
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.