Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri leo imetembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Halmashauri, Kamati hiyo imemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhakikisha anakamilisha miradi yote ambayo haijakamilika ikiwemo mradi wa kituo cha Afya cha Katete unaojengwa kwa fedha za mapato ya ndani kwa gharama ya shilingi milioni 500 ambapo hadi sasa ujenzi umefikia asilimia 75
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.