• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

MADIWANI WATEULE WAAPISHWA WILAYANI CHATO

Posted on: December 11th, 2020

Madiwani wateule katika halmashauri ya wilaya ya Chato wameapishwa leo tarehe 11/12/2020, ambapo jumla ya madiwani thelethini(30) wameapa katika ukumbi wa shule ya sekondari Chato. Zoezi hilo limekwenda samba na kuthibitishwa kwa mwenyekiti wa Halmashuri pamoja na makamu mwenyekiti.


 (Waheshimiwa Madiwani wakiwa na waheni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa)

Awali akiongoza mkutano huo ndugu Masumbuko Sobilwe ambaye ni Afisa tawala kutoka ofisi ya Katibu tawala wilaya ya Chato aliwakaribisha wajumbe wote waalikwa wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Charles Kabeho pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.

Kama ilivyo ada kwa mujibu wa sheria, madiwani walianza kwa kula kiapo cha udiwani na kufuatiwa na kiapo cha Uadilifu. Baada ya zoezi la kuapa kukamilika Madiliwani walipiga kura kumuidhinisha mwenyekiti wa Halmashauri ambaye jina lake lilipitishwa na chama (CCM), ambapo wadiwani walipiga kura na kumchagua Mh Batromeo Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri na Mh Fortunatus Jangole kuwa Makamu mwenyekiti.

 (Mkurugenzi Mtendaji akizungumza na madiwani)

Baada ya uchaguzi kukamilika, ilifuatiwa na zoezi la uundaji wa kamati mbalimbali na wajumbe wa kamati hizo waliwachagua wenyeviti wa kamati hizo, Mwenyekiti wa Halmashauri akishauriana na Mkurugenzi mtendaji Ndugu Eliud Mwaiteleke waliunda kamati ya Fedha Mipango na Uongozi mweyekiti akiwa Mh. Batromeo Manunga, Kamati ya Uchumi , Ujenzi, na Mzingira mweyekiti akiwa Mh. Emmanel Nyamranga, Kamati ya Elimu, Afya na Maji mweyekiti akiwa Mh.Reginald Mbani, Kamati ya UKIMWI mweyekiti akiwa Mh.Fortunatus Jangole, Kamati ya Ugawaji wa Ardhi mweyekiti akiwa Mh. Justina Marco, Bodi ya ajira, Kamati ya Maadili mweyekiti akiwa Mh. Leticia Isaya, Kamati ya ALAT Mkoa pamoja na LAVRAC



Akizungu katika mkutano huo, mkuu wa wilaya ya Chato Eng. Charles Kabeho amewataka madiwani hao waliochaguliwa na kuapa, kwenda kutatua kero mbalimbali za wananchi katika maeneo yao.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MSINGI WA MAENDELEO NI LAZIMA UTOKANE NA WANANCHI WENYEWE

    April 26, 2025
  • WADAU CHATO WATHIBITISHA MCHAKATO WA KUGAWANYA JIMBO UMEFATA TARATIBU ZOTE ZA VIKAO MBELE YA TUME HURU YA UCHAGUZI

    May 24, 2025
  • MILIONI 431.2 ZAWAGUSA WANANCHI SEKTA YA MAJI CHATO

    April 16, 2025
  • WANANCHI WA KINSABE WAISHUKURU RUWASA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI YA BOMBA

    April 16, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.