Mkuu wa Wilaya ya Chato Mh. Martha Mkupasi amewaasa makarani wa sensa waliopo kwenye mafunzo katika tarafa zote 5 kufanya kazi kwa bidii pamoja na kutanguliza mbele uzalendo kwenye zoezi Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika tarehe 23.08.2022.
Wakati huo huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri amewataka makarani wa sensa pamoja na wazimamizi wa zoezi hilo kuhakikisha wanatunza vizuri vishikwambi vinavyotumika kwenye mafunzo na baadaye kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.