• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

MHE. SIMBACHAWENE ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.8-CHATO

Posted on: September 14th, 2023

Mhe. George Simbachawene waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, amewapongeza viongozi wa wilaya ya Chato Kwa usimamizi madhubuti wa miradi ya maendeleo unaopelekea kuwa na ubora wenye viwango vya juu.

Akiwa katika ziar8a ya kikazi ya siku moja Mhe. Simbachawene amepata fursa ya kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Halmashauri kupitia Mfuko wa TASAF, na baada kuongea na Watumishi wa Umma katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri

Licha ya kuongea na watumishi Mhe. Simbachawene ametoa pongezi kwa Menejimenti pamoja na watumishi wote mapema hii Leo Septemba 14, 2023 katika ukumbi wa halmashauri ya Wilaya, wakati akizungumza na watumishi wa Umma wa wilaya hiyo, ikiwa ni baada ya kukamilisha ziara aliyoifanya kukagua miradi ya maendeleo hususani miradi iliyo chini ya wizara yake inayotekelezwa na TASAF ambayo ni ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Mkungo na kituo Cha Afya Nyabilezi yote ikiwa kata ya Bukome.

"Nimefurahishwa saana na ninawapongeza viongozi Kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo hususani mradi wa kituo Cha Afya Nyabilezi majengo yake ni imara na yanavutia niwasihi muyatunze Kwa kuzingatia usafi Ili yaweze kudumu" Alisema Simbachawene.

Aidha amewashauri watumishi wa Umma kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha Kwa kile wanachokipata, itakayowapelekea kuwa na makazi bora pamoja na kujiwekeza katika miradi ya maendeleo kuliko kusubiri kiinua mgongo huku wakiwa hawana walichojiandaa.

Naye Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Medard Kalemani ameishukuru Serikali ya awamu ya sita, Kwa jinsi inavyo toa pesa Kwa miradi mingi Kila sekta ukienda afya ipo vizuri Elimu, barabara, umeme na maji.

"Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Daktari Samia Suluhu Hassan ni imara na yenye kujikita kwenye utekelezaji, nawaomba watumishi tusimuangushe Mama yetu ambaye Nia yake kubwa ni kuona wananchi wanapata huduma nzuri hivyo tuchape kazi Kila Mmoja Kwa nafasi yake." Alisema Kalemani

Mhe. Christiani Manunga mwenyekiti wa Halmashauri ya Chato, kupitia kikao hicho Kwa niaba ya Wana Chato  amemkabidhi Mhe. Waziri Simbachawene kiwanja ambacho amemuomba kukijenga ili naye awe mwanafamilia wa Chato, jambo ambalo Waziri amelipokea vizuri kuahidi atatekelez

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • JIMBO LA CHATO LAGAWANYWA RASMI

    May 12, 2025
  • CHATO TECHNICAL YAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • WATAHINIWA 2234 WA KIDATO CHA SITA KUANZA MTIHANI MEI 5 WILAYANI CHATO

    May 04, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 01, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.