• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

MTAKUWWA WATAKA SHERIA KALI KUTOKOMEZA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

Posted on: November 19th, 2021

MTAKUWWA YATAKA SHERIA KALI KUTOKOMEZA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

Na. Richard Bagolele-Chato

Wajumbe wa kamati ya Wilaya ya Mkakati wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto wameiomba serikali kutunga sheria ndogo za vijiji kwa lengo la kudhibiti ajira hatarishi za  watoto.

Wakiongea kwa nyakati tofauti wakati wa kikao cha robo ya kwanza cha kamati hiyo kilichofanyika leo tarehe 19 Novemba, 2021wajumbe hao wamesema kumekuwa na utumikishwaji wa watoto katika ajira hatarishi katika maeneo mbalimbali ya wilaya kama vile uuzaji wa bidhaa nyakati mchana na usiku pamoja na uchimbaji wa madini lakini jamii imekuwa haitoi taarifa kwa mamlaka husika juu ya utumikishwaji huo.

Mratibu wa shirika la KIVULINI ndugu Eunice Mayengela amesema kutungwa kwa sheria ndogo hizo kutasaidia kutokomeza ukatili dhidi ya watoto katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hivyo amesisitiza kamati za MTAKUWWA ngazi za vijiji na kata ziimarishwe.

Kwa upande wake mwakilishi wa mahakama ndugu Tryphone Bashaya amesema kwa mwaka 2021 jumla ya kesi 27 zinazohusiana na ukatili wa wanawake watoto ikiwemo ubakaji, ilawiti,wizi wa watoto, na mashambulio zimefikishwa mahakamani ambapo kati ya hizo kuna kesi ambazo hukumu zake zimetolewa, nyingine bado zinaendelea na uchunguzi.

Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii ndugu Vicent Bushaija akifungua kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji amelishukuru shirika la KIVULINI kwa jitihada zake za kuziwezesha kamati za MTAKUWA kuanzia ngazi za vijiji hadi wilaya zinatekeleza majukumu yake pamoja na kuhakikisha ukatili dhidi ya wanawake na watoto wilayani Chato unatokomezwa.

Kamati ya MTAKUWA ya Wilaya inaundwa na wawakilishi kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, jeshi la polisi, magereza, mahakama, madhehebu ya dini, watoto,wazee maarufu, na vikundi vya akina mama.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • DC BURA AKABIDHI PIKIPIKI 8 KWA MAAFISA MIFUGO

    June 24, 2025
  • CMT YATEMBELEA MIRADI YA BILIONI 1.9

    May 29, 2025
  • NENDENI MKATANGAZE MIRADI NA SHUGHULI ZINAZOFANYWA SERIKALI, MHE. MCHENGELWA

    May 23, 2025
  • MAKAMPUNI 12 KUNUNUA ZAO LA PAMBA CHATO

    May 15, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.