• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

RAIS SAMIA AWATAKA WANANCHI KUVUTA SUBIRA ARDHI YA HIFADHI

Posted on: June 8th, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anewataka wananchi wa kata ya Bwanga Wilayani Chato kuwa na subira kuhusu urekebishaji wa mipaka ya hifadhi ili kuruhusu sehemu ya ardhi hiyo kutumika katika shughuli za kibinadamu ambapo amesema suala la uhaba wa ardhi sio la Bwanga tu bali tatizo la nchi nzima kutokana na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa.


Rais Samia ametoa rai hiyo leo wakati akisalimiana na wananchi wa kata ya Bwanga iliyopo Wilayani Chato akiwa njiani kuelekea Mkoani Kagera ambapo atakuwa na ziara ya siku tatu.


"Tutachukua hatua ya kuangalia hifadhi zetu na mipaka yake halafu tutato maamuzi" amesema Rais Samia Suluhu Hassan.


Katika hatua nyingine Rais Samia amewataka wafugaji wenye mifugo mingi kupunguza idadi ya mifugo hiyo ili kukabiliana na uhaba wa ardhi ambapo amesema iwapo viwanda vingi vya nyama vyama vitaanzishwa kutasaidia kudhibiti ongezeko la mifungo na itasaidia kuuza nyama nje ya nchi.


Mapema akiongea na wananchi hao, mbunge wa jimbo la Chato mhe. Medard Kalemani amemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia ombi la kutoa sehemu ardhi ya shamba la miti la Silayo angalau kilometa 8 ili ziweze kusaidia wananchi wa kata ya Bwanga ili kukidhi mahitaji ya makazi, kilimo na ufugaji.


Mkuu wa mkoa wa Geita Rosemary Senyamule amesema katika kipindi cha muda mfupi mkoa wa Geita umepata shilingi bilioni 190 kwa ajili ya miradi ya elimu, afya, barabara, umeme na maji ambapo kwa upande wa Wilaya ya Chato imeweza kupata shilingi bilioni 22.2 katika miradi ya afya, elimu, maji na barabara.


Katika uwanja wa ndege wa Geita uliopo Chato, Rais Samia Suluhu Hassan amepokewa na Mkuu wa mkoa wa Geita Rosemary Senyamule, vingozi wa CCM na kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa  ambapo anaelekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza leo tarehe 08 Juni, 2022.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MSINGI WA MAENDELEO NI LAZIMA UTOKANE NA WANANCHI WENYEWE

    April 26, 2025
  • WADAU CHATO WATHIBITISHA MCHAKATO WA KUGAWANYA JIMBO UMEFATA TARATIBU ZOTE ZA VIKAO MBELE YA TUME HURU YA UCHAGUZI

    May 24, 2025
  • MILIONI 431.2 ZAWAGUSA WANANCHI SEKTA YA MAJI CHATO

    April 16, 2025
  • WANANCHI WA KINSABE WAISHUKURU RUWASA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI YA BOMBA

    April 16, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.