• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

RAIS WA AfDB AMLILIA HAYATI DKT. MAAGUFULI

Posted on: February 10th, 2022

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina leo tarehe 10.02.2022 amefanya ziara ya siku moja Wilayani Chato yenye lengo la kutoa salamu za pole kwa familia ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Dkt. Adesina amepokewa katika uwanja wa ndege wa Geita uliopo Chato na kaimu Mkuu wa Wilaya ya Chato ndugu Wilson Shimo pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya.

Akiwa nyumbani kwa hayati Dkt. John Pombe Magufuli Dkt. Akinwumi Adesina amesema amefika nyumbani kwa hayati Magufuli kutokana na urafiki mkubwa aliokuwa nao yeye na hayati Rais Maguli pamoja na kutambua mchango mkubwa ambao hayati Magufuli aliutoa kwa watanzania na kwa watu wengine.

 “Rais Magufuli alikuwa mfano mzuri kwa viongozi barani Afrika, aliwapenda watanzania na waafrika wote kwa moyo wake wote” alisema Dkt. Adesina.

Rais wa AfDB amesema pamoja na kuodokewa na Rais Magufuli anafarijika kuona Tanzania bado ipo kwenye mikono salama chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anaendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na hayati Magufuli.

Dkt. Akinwumi Adesina amemshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na kumruhusu kufika Wilayani Chato kwa ajili ya kutoa salamu za pole.

Dkt. Akinwumi Adesina na ujumbe ulioambatana naye wamerejea jijini Dar es Salaam.

Matangazo

  • KUPATA FOMU YA KUJISAJILI KATIKA MAONYESHO YA CHATO UTALII FESTIVAL 2023 October 25, 2023
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA CHATO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Tangazo la Kazi Chato April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI- CHATO September 01, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • BAROZI WA PAMBA NCHINI NDG. AGREY MWANRI AWAJENGEA UWEZO WADAU WA KILIMO CHATO

    November 10, 2023
  • DC CHATO ASISITIZA WATAALAMU WA AFYA KUSHIRIKA CHATO UTALII MARATHON

    November 09, 2023
  • Ms NANAE TAKEDA MWAKILISHI WA UBALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA ATEMBELEA CHATO

    November 03, 2023
  • MHE. NAIBU WAZIRI MKUU AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA MADINI

    September 24, 2023
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.