• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

SERIKALI KUBORESHA KISIWA CHA MAGAFU

Posted on: August 26th, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) January Makamba akiangalia mazingira ya kisiwa Cha Magafu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) January Makamba pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye lango la kuingilia kisiwa cha Magafu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) January Makamba akiangalia mazingira ya kisiwa Cha Magafu


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) January Makamba amesema serikali inaangalia uwezekano wa kukilinda na kukihifadhi kisiwa cha Magafu kilichopo Wilayani Hapa ili kiwe kivutio cha Utalii na eneo maalumu kwa ajili ya mazalia ya Samaki.

Waziri Makamba amesema hayo alipotembelea kisiwa hicho kufuatia ombi la Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa Wizara hiyo la kuomba kisiwa hicho kihifadhiwe na kuwa eneo lindwa  kuwa eneo tengefu kwa ajili ya mazalia ya samaki kwa ziwa Viktoria.

‘’kutokana eneo la kisiwa hiki kuwa ni chanzo kikubwa cha mazalia ya samaki lakini  kumekuwa na hatari kubwa za uvamizi wa kisiwa hiki kutokana na shughuli za kilimo, uvuvi haramu na ufugaji ambao umeathiri ukuaji wa samaki na shughuli nzima za kiuchumi” alisema Waziri Makamba.

Amesema kutokana na umuhimu wa kisiwa hicho, Wizara yake itaandaa mpango wa matumizi mazuri ya kisiwa hicho ili kiweze kurudi kwenye mazingira yake ya asilia kwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya ya Chato na Jamii inayozunguka eneo hilo.

Kwa upande Mkuu Wa Wilaya ya Chato Mhandisi Mtemi Msafiri amesema kutokana na umuhimu wa kisiwa hicho kiuchumi ni lazima kisiwa hicho kihifadhiwe ili kuongeza samaki ziwa viktoria na shughuli za kiutalii kwani mahali hapo panaweza kujengwa hoteli ya kitalii kwani kisiwa hicho kipo karibu na hifadhi ya kisiwa cha Rubondo.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri Christian Manunga ameomba kisiwa hicho kianze kulindwa ili kunusuru maliasili zilizomo kwa manuaa ya serikali hususan Wilaya ya Chato.

Kisiwa kidogo cha Magafu kipo ndani ya Ziwa Viktoria eneo la kata ya Nyamirembe. Kisiwa hicho kinakadiriwa kuwa na ukubwa eneo wa mita 3 za mraba.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MSINGI WA MAENDELEO NI LAZIMA UTOKANE NA WANANCHI WENYEWE

    April 26, 2025
  • WADAU CHATO WATHIBITISHA MCHAKATO WA KUGAWANYA JIMBO UMEFATA TARATIBU ZOTE ZA VIKAO MBELE YA TUME HURU YA UCHAGUZI

    May 24, 2025
  • MILIONI 431.2 ZAWAGUSA WANANCHI SEKTA YA MAJI CHATO

    April 16, 2025
  • WANANCHI WA KINSABE WAISHUKURU RUWASA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI YA BOMBA

    April 16, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.