• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

SERIKALI YAIMARISHA SEKTA YA MIFUGO KUJENGA MAJOSHO 15 - CHATO

Posted on: November 7th, 2025

Kamati ya ufuatiliaji wa miradi na tathmini ya Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Novemba 06, 2025 ilifanya ziara ya kukagua ujenzi wa majosho 15 ya kuogeshea mifugo, Ukarabati wa machinjio 02 ambayo ni ya  Muganza na kata ya Muungano , ujenzi wa shule ya awali na msingi Nyabugera Kata ya Mganza pamoja na ufuatiliaji wa ujenzi wa bwalo la chakula shule ya Sekondari  Zakia Meghji iliyopo kata ya Muganza .

Timu hiyo iliyoongozwa na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg. Geriad Mgoba ambaye ni Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, ilitembelea na kukagua Miradi yenye thamani ya Tsh.746,271,428.4 ambayo ni majosho 15 yenye thamani ya Tsh. 428,571,428.4 ambapo kila moja limegharimu Tsh. 28,571,428.56, Ukarabati wa machinjio 02  Tsh. 10,000,000/=( Mapato ya ndani), kila moja Tsh. 5.000.000, Bwalo la chakula Zakia Meghji Sekondari 100,000,000/= pamoja na ujenzi wa Shule ya awali na Msingi Juhudi Tsh. 207,700,000/=.(Serikali Kuu)

Licha ya kuipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi katika kila Sekta, Ndg.Mgoba alisema uwepo wa majosho hayo utapunguza kwa kiwango kikubwa magonjwa ya ngozi kwa mifugo,magonjwa yatokanayo na Kupe hivyo mifugo kuwa na afya njema na kupelekea mazao yatokanayo na mifugo hiyo kuwa na ubora hivyo mfugaji kunufaika na Soko la uhakika ndani na nje ya nchi.Mfugaji wa Ng'ombe wa kata ya Bukome kijiji cha Nyabilezi Ndg.Juma Subhi akizungumza kwa niaba ya wafugaji ameishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma ya josho, ambapo amekiri kuwa awali walikuwa wanafuata huduma ya kuogesha mifugo  umbali wa kilometa 20 lakini kwa sasa huduma imesogezwa hivyo Josho hilo litakapokamilika na kuanza kulitumia watanufaika kwa kupata huduma karibu na kuboresha afya ya mifugo yao  hivyo kukuza uchumi wa familia na Taifa kutokana na Soko kuwa zuri zaidi.

Halmashauri ya wilaya ya Chato ilipokea fedha za ujenzi wa majosho15 kwa mwaka wa fedha 2025/ 26fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Kunusuru kaya Masikini (TASAF)ambayo yanajengwa katika kata za Makurugusi,Bwera, Muganza,Buseresere,Ilemela,Nyamirembe,Kigongo, Bwina,Iparamasa,Nyarutembo,Katende,Ilyamchele,Kachwamba na Bukome

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • CHATO KUFANYA KAMPENI YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 08, 2025
  • SERIKALI YAIMARISHA SEKTA YA MIFUGO KUJENGA MAJOSHO 15 - CHATO

    November 07, 2025
  • CHATO YAFANYA MAOMBI MAALUMU KULIOMBEA TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA 2025

    October 23, 2025
  • DED CHATO AONGOZA TIMU YA WATAALAMU KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    October 22, 2025
  • View All

Video

MAANDALIZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 WILAYANI CHATO
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Toto Slot
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor