• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

TUJITOKEZE KUJIANDISHA

Posted on: October 7th, 2019

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA WILAYA YA CHATO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 24 NOVEMBA 2019 UTAANZA SIKU YA JUMANNE TAREHE 8/10/2019 HADI TAREHE 14/10/2019.

SIFA ZA KUJIANDISKISHA . 

  • AWE NI RAIA WA TANZANIA
  • AWE NA UMRI WA MIAKA 18 AU ZAIDI
  • AWE MKAZI WA KIJIJI AU KITONGOJI AMBACHO UCHAGUZI UTAFANYIKA

MAHALI PA KUJIANDIKISHA; KWENYE VITONGOJI HUSIKA

KUANZIA SAA 2.00 HADI SA 12 JIONI

SAMBAMBA NA HILO PIA WANANCHI WENYE SIFA ZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI KATIKA NGAZI ZA VIJIJI NA VITONGOJI MNAOMBWA KUJITOKEZA KATIKA MAENEO YENU NA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI

SIFA ZA KUGOMBEA NI 

  • MTANZANIA MWENYE MIAKA 21 NA KUENDELEA
  • ANAYEJUA KUSOMA NA KUANDIKA KWA KISWAHILI AU KIINGEREZA
  • AWE NA SHUGHULI HALALI YA KUMWEZESHA KUISHI
  • MWANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA
  • HAJAWAHI KUPATIKANA NA HATIA YA KOSA LA UTOVU WA UAMINIFU KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KABLA YA TAREHE YA UCHAGUZI
  • AWE HANA UGONJWA WA AKILI

KUMBUKA TAREHE 24/11/2019 NI SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA EWE MWANANCHI JITOKEZE KUJIANDIKSHA ILI UWEZE KUCHAGUA AU KUGOMBEA NAFASI KWENYE UCHAGUZI HUO

“VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NI CHACHU YA MAENDELEO, NI HAKI NA WAJIBU WAKO KUJIANDIKISHA, KUGOMBEA NA KUCHAGUA KIONGOZI BORA”

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MSINGI WA MAENDELEO NI LAZIMA UTOKANE NA WANANCHI WENYEWE

    April 26, 2025
  • WADAU CHATO WATHIBITISHA MCHAKATO WA KUGAWANYA JIMBO UMEFATA TARATIBU ZOTE ZA VIKAO MBELE YA TUME HURU YA UCHAGUZI

    May 24, 2025
  • MILIONI 431.2 ZAWAGUSA WANANCHI SEKTA YA MAJI CHATO

    April 16, 2025
  • WANANCHI WA KINSABE WAISHUKURU RUWASA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI YA BOMBA

    April 16, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.