Mbunge wa Geita mjini mhe. Constantine Kanyasu Leo ametembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye Maonesho ya 5 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Dhahabu yanayoendelea mjini Geita. Mhe. Kanyasu amewashauri wajasiriamali mbalimbali wa Chato kuhakikisha bidhaa wanazozalisha zinaenda sambamba na bei halisi ya soko pamoja na kutafuta masoko yenye uhakika ya kuuza bidhaa hizo
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.