Kampeni hiyo ya utoaji wa Dawa hizo imetolewa katika Shule uote za Msingi pamoja na maeneo mbalimbali yenye mikusanyika lengo ikiwa ni kuwafikia watoto wengi kadili wanavyojitokeza.
Ikiwa na dhamira ya kumkinga mtoto na magonjwa ya kuvimba tumbo, kukosa hamu ya kula, kutapika au kuishiwa na damu mwilini.
Kampeni hiyo imefanyika katka wilaya ya Chato tarehe 30 Novemba 2022
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.