Wahe. Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Chato wamepitisha kiasi cha shilingi Bilioni 54.2 ikiwa ni maksio kwa mwaka wa fedha 2023/2024 katika Mkutano Maalumu wa Baraza la Bajeti uliofanyika katika ikumni wa mikutano wa Halmashauri.
Ambapo Halmashauri inatarajia kukusanya kiasi cha Maputo ya Ndani ni shilingi 4,552,608,800.00 Ruzuku toka Serikali kuu 50,001,663,799.00 Michango ya Jamii 900,000,000.00 na hivyo kuleta jumla Jumla ya kiasi cha shilingi 54,268,892,299.00 ikiwa ni maksio ya Maputo na Matumisi kwa mwaka 2023/2024
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.