• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

DC NKUMBA AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUSHIRIKI KUCHIMBA MISINGI - CHATO

Posted on: April 19th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe. Said Nkumba  April 16, 2024 aliongoza mamia ya wananchi  kijiji cha Igando kata ya Bwera pamoja na wananchi wa kata ya Bukome wilayani hapa kushiriki zoezi la uchimbaji wa misingi ya miradi minne ya kuondoa umaskini yaani TASAF, OPEC  awamu ya iv yenye thamani ya zaidi ya milioni mia nne.

Nkumba amekiri kufurahishwa na  wananchi hao jinsi walivyoonesha kiu ya maendeleo kwa  kujitokeza kwa wingi katika zoezi hilo ambapo  amewasihi waendelee na  moyo huo huku akiwataka mafundi kukamilisha ujenzi ndani ya muda wa mkataba kwani kwa kufanya hivyo wanaishawishi Serikali kuwapelekea miradi mingine, huku akiwasisitiza  wanavyojitolea kazi za maendeleo pia wajitoe kuhakikisha watoto wanapata chakula shuleni ili kuinua ufaulu  pia kuepuka udumavu.

"Ukiona wananchi wanajitokeza kwa wingi kushiriki shughuli za maendeleo ujue viongozi wa eneo hilo wana mshikamano mkubwa  hivyo hongereni sana, nawasihi kuwa viongozi sio mashati kwahiyo kama wanafanya kazi vizuri hakuna haja ya kuwabadilisha, binafsi namshukuru Rais wetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa anayoifanya kutuletea fedha za miradi, nawapongeza viongozi kuanzia Wenyeviti,Madiwani pamoja na Mhe.Mbunge wetu Kalemani kutupambania kuomba miradi hii na kweli inatufikia.Alisema Nkumba

Naye Mratibu wa TASAF wilaya ya Chato Bi Aisha Kesowani alitaja jumla ya fedha zilizopokelewa  kiasi cha Tshs - 415,496,190.73 kwa mchanganuo wa; Jengo la wagonjwa wa nje (OPD)Tshs -  92,410,714.29 na Nyumba ya watumishi wa afya 2 in 1 Tshs - 92,410,714.29 ni miradi ya kijiji cha Igando kata ya Bwera, ambapo miradi ya kata ya Bukome ni Bweni la wavulana shule ya Sekondari Mkungo Tshs - 138,264.047.86 na nyumba ya walimu 2 in 1 Tshs - 92,410,714.29.

Aidha Bi Aisha alisisitiza kuwa miradi hiyo iliibuliwa na kuidhinishwa na wananchi wa maeneo hayo mnamo Septemba 2023 kupitia mikutano ya hadhara kwa kuangalia vipaumbele vya uhitaji katika maeneo yao, na kwa asili ya mradi ni jamii itachangia nguvu kazi kama kuchimba msingi, kujaza kifusi,maji ya ujenzi, mawe,mchanga,ulinzi wa vifaa vya ujenzi pamoja na kupanda miti ya matunda na kivuli

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • JIMBO LA CHATO LAGAWANYWA RASMI

    May 12, 2025
  • CHATO TECHNICAL YAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • WATAHINIWA 2234 WA KIDATO CHA SITA KUANZA MTIHANI MEI 5 WILAYANI CHATO

    May 04, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 01, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.