Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Leo Tarehe 22/02/2025. Ameongoza zoezi la usafi wa Mazingira katika Uwanja wa Magufuli ikiwa ni utaratibu uliowekwa na Halmashauri wa kufanya usafi wa Mazingira Kila ifikapo mwisho wa Mwezi. Katika zoezi hili pia watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wameshiriki Kikamilifu katika zoezi hili la usafi wa Mazingira.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.