• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

DKT. KALEMANI ACHANGIA KIKUNDI CHA KILIMO

Posted on: April 11th, 2018


Mbunge wa jimbo la Chato na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani amekikabidhi  kundi cha Kilimo ni Mali cha kata ya Nyamirembe kiasi cha shilingi laki tano kwa ajili ya kununua mashine ya kuvunia Mpunga.

Fedha hizo zimekabidhiwa leo na katibu wa mbunge ndugu James Kuya kwa mwenyekiti wa kikundi hicho ndugu Robert Musa makabidhiano yaliyofanyika kwenye eneo la shamaba hilo Nyamirembe makabidhiano yaliyohudhuriwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mhandisi Joel Hari.

Mbunge wa jimbo la Chato Mhe. Dkt Medard Kalemani aliahidi kukisaidia kikundi hicho baada ya kikundi hicho kuelezea changamoto hiyo ya kukosekana kwa mashine ya kuvunia mpunga wakati mwenge wa uhuru 2018 ulipotembelea shambani hapo kujionea shughuli za wakulima hao.

”Tunashukuru sana mheshimiwa mbunge wetu kwa msaada huu…  tumekuwa tukikodi mashine kwa gharama kubwa” alisema mwenyekiti wa kikundi ndugu Robert.

Naye Katibu wa mbunge amewaasa wanakikundi hao kuitunza vizuri mashine hiyo pindi itakaponunuliwa ili ilete faida kwa kikundi hicho.

Kikundi cha Kilimo ni Mali cha Nyamirembe kinao jumla ya wanachama 20 na kinaendesha kilimo cha umwagiliaji kwenye eneo lililopo kata ya Nyamirembe pembezoni mwa ziwa eneo la kilimo linakadiriwa kufikia heka heka 170.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • JIMBO LA CHATO LAGAWANYWA RASMI

    May 12, 2025
  • CHATO TECHNICAL YAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • WATAHINIWA 2234 WA KIDATO CHA SITA KUANZA MTIHANI MEI 5 WILAYANI CHATO

    May 04, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 01, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.