Leo Mach 5, 2025 umati mkubwa wa wananchi umeshuhudia uzinduzi wa Zahanati ya Busalala katika Kijiji cha Busalala, ambapo wananchi Kijijini hapo walishindwa kujizuia nakubaki kutoa machozi ya furaha kwani Zahanati hiyo ilikuwa ni kilio kikubwa cha wananchi hao.
Kukamilika na kuzinduliwa kuanza kutoa huduma ni mapinduzi makubwa anayoyafanya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia S. Hassan katika kuhakikisha jamii yote ya kitanzania inapata huduma bora pasipo ubaguzi.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.