Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imegawa tani 8 za mbegu za alizeti kwa Halmashauri ya Wilaya Chato ili zigawiwe kwa wakulima bure.
Zoezi la ugawaji limeanza tarehe 5.3.2025 na litahitimishwa tarehe leo tarehe 7.3.2025.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.