Mhe. Katibu Tawala Ndg. Mohamed Gombati atembelea na kukagua mradi wa Redio katika Halmashauri ya wilaya ya Chato unaotekelezwa kupitia mapato ya ndani na kuupongeza uongozi wa Halmashauri hiyo kwa ubunifu mzuri, kwani redio hiyo itakapoanza kurusha matangazo yake itakuwa ni kiunganishi muhimu kati ya wananchi na Serikali hasa katika kutangaza shughuli za Kiserikali na jamii kwa ujumla.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.