• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

RC MWANZA AFUNGUA RASMI MAONESHO YA NANENANE, BANDA LA CHATO LAVUTIA MAMIA WANACHI

Posted on: August 4th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Kigoma Malima leo amefungua Rasmi Maonesho ya Nanenane 2022 Kanda ya Ziwa Magharibi yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyamongolo Jijini Mwanza.


Akitembelea na banda la Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mhe. Malima amevipongeza baadhi ya vikundi vilivyoshiriki kutoka Wilayani Chato ambapo amevutiwa zaidi na wajasiriamali  wanaotengeneza viatu vya ngozi ambapo  amewashauri kuboresha zaidi bidhaa hizo ili ziweze kushindana na watengezaji wengine.

"Viatu vyenu ni vizuri, ila boresheni zaidi ili muweze kushindana na wazalishaji wengine" ameshauri Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.


Mamia ya wananchi waliotembelea banda la Chato wamepongeza kwa elimu inayotolewa ya ufugaji wa Kuku wa kienyeji,  uzalishaji wa asali, Michele pamoja na kilimo cha Ndizi.


Kauli mbiu ya Maonesho ya Nanenane 2022 ni "Ajenda 10/30: Kilimo ni Biashara, Shiriki Kuhesabiwa kwa Mipango Bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi"

Matangazo

  • Tangazo la Kazi Chato April 18, 2023
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA CHATO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI MAENEO YA BIASHARA STENDI MPYA KAHUMO January 20, 2022
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI YA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI KATIKA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO NA MAJANGA YA AFYA NGAZI YA WILAYA YAJENGEWA UWEZO CHATO

    April 17, 2023
  • DC KATWALE KUIFUNGUA CHATO KATIKA NYANJA YA MICHEZO

    April 13, 2023
  • "KAWENI WABUNIFU, WAADILIFU NA WAAMINIFU KATIKA KUTEKELEZA MRADI WA WASH NA SWASH" DC CHATO

    April 11, 2023
  • "NENDENI MKAWASAIDIE WAKULIMA WALIME KILIMO CHENYE TIJA WAACHANE NA KILIMO CHA MAZOEA" DC CHATO

    March 21, 2023
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.