Mhe. Mkuu wa wilaya ya Chato Bi. Martha Mkupasi azindua Mradi wa Maji ya Bomba kwa Wananchi wa vijiji vya Mnekezi na Songambele, unaotekelezwa na RUWASA - Chato
Akizindua Mradi huo Mhe. Mkupasi amewataka RUWASA kuongeza kazi katika utelekezaji wa miradi ya maji ili ifikapo 2025 wawe wamefikia asilimia 85 kama ambavyo ILANI Chama cha Mapinduzi CCM inavyosema ili kufikisha huduma hii mhimu kwawananchi wote , amabapo mpaka sasa ni asilima 65 tumewafikia wananchi katika kusambaza mtanadao wa maji.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.