Mhe. Katibu Tawala katika wilaya ya Chato Ndg. Thomas Dimme amewataka watumishi wa umma kuondoa matabaka mahala pa kazi, huku akisisitiza upendo na kuongeza kiwango cha uwajibikaji ili kila taasisi ya umma ilete tija kwa wananchi, hayo ameyasema katika Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za kuukaribisha mwaka mpya 2025
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.