Mhe.Ashatu Kijaji,Waziri wa Mifugo na Uvuvi,amezindua zoezi la Chanjo ya homa ya mapafu kwa Ng’ombe,Chanjo ya kideli kwa kuku na uwekaji wa alama za utambuzi wa mifugo katika Kata ya Bukome,Tarafa ya Buzirayombo,Wilayani Chato.Zoezi hilo litadumu kwa muda wa miezi miwili likilenga kuchanja mifugo yote katika Mkoa wa Geita.
Taktibani mifugo 326,000 tayari imechanjwa na kutambuliwa nchini tangu kuanza kwa kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa mifugo tarehe 2 Julai 2025.
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.