• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA CRDB CHATO

Posted on: March 9th, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefungua tawi jipya la Benki ya CRBD lililopo wilayani hapa.

Mheshimiwa Rais Magufuli ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutoa huduma nzuri na ameziomba benki kupunguza riba katika mikopo wanayotoa ili wananchi wengi waweze kunufaika.

Aidha, Mhe. Magufuli amewataka wananchi wa Wilaya ya Chato na Geita kwa ujumla kuitumia benki ya CRDB kwa kuwa inaaminika na huduma zake ni nzuri na itaimarisha usalama wa fedha zao kwa maendeleo ya taifa.

Benki ya CRDB imemkabidhi pia Mhe. Rais Magufuli Hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa kisasa utakaoanza kujengwa hivi karibuni.

Waziri wa nishati Dkt. Medard Kalemani ambaye pia ni mbunge wa ji,npo la Chato ameishukuru benki ya CRDB kwa kuendelea kuwekeza Chato ambapo amesema ni kutokana uhusiano mzuri ulioanzishwa Mhe. Magufuli na benki hiyo wakati akiwa mbunge wa jimbo la Chato.

Mhe. Dkt. Kalemani pia amemwomba Mkurugenzi Mkuu wa CRDB jengo ambalo benki hiyo watahama ili Halmashauri ilitumie kwa ajili uanzishwaji wa kituo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa kwa Tanzania inaongoza kwa huduma za Kibenki Afrika ambapo inashika nafasi ya  sita duniani.

Kufunguliwa kwa Tawi la Benki ya CRDB Wilayani Chato kutatoa fursa ya wananchi kupata huduma za kibenki karibu na maeneo yao kwa kutunza fedha na kukopa mitaji kwa ajili ya maendeleo.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MSINGI WA MAENDELEO NI LAZIMA UTOKANE NA WANANCHI WENYEWE

    April 26, 2025
  • WADAU CHATO WATHIBITISHA MCHAKATO WA KUGAWANYA JIMBO UMEFATA TARATIBU ZOTE ZA VIKAO MBELE YA TUME HURU YA UCHAGUZI

    May 24, 2025
  • MILIONI 431.2 ZAWAGUSA WANANCHI SEKTA YA MAJI CHATO

    April 16, 2025
  • WANANCHI WA KINSABE WAISHUKURU RUWASA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI YA BOMBA

    April 16, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.