Posted on: November 9th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe. Mhandisi Deusdedith J. Katwale, leo Novemba 9, 2023 amefanya kikao na Waganga Wafawidhi kutoka katika Zahanati na Vituo vya Afya pamoja na Hospital ya Kanda Chato.
...
Posted on: November 3rd, 2023
Mwakilishi wa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania Ms. Nanae Takeda, Jana Novemba 3, 2023 alifanya ziara ya kukagua miradi mitano ya maendeleo yenye thamani ya Tsh. 920,228,566/= ambayo imefadhiliwa na Ub...
Posted on: September 24th, 2023
Maonesho ya teknolojia ya madini kimataifa yamefunguliwa rasmi leo Septemba 23, 2023, Mkoani Geita na Mhe. Doto Biteko ambae ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
Akihutubia mamia ya ...