Posted on: April 26th, 2025
Mkuu wa wilaya ya Chato mkoani Geita, Louis Bura,amewataka wananchi kudumisha amani, mshikamano na umoja wa kitaifa hasa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani nchini.
...
Posted on: May 24th, 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imefika wilayani Chato mkoani Geita kwa lengo la kujiridhisha iwapo vigezo vilivyowekwa na Tume hiyo katika majimbo yanayoomba kugawanywa vimezingatiwa ik...