Posted on: February 7th, 2023
Wafugaji wa vijiji vya Ihanga, Bupandwampuli, Kinsabe, Imalabupina, Kasenga na Butarama wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaj...
Posted on: February 6th, 2023
Mbegu hizo zimetolewa kwa wakulima ikiwa ni mkakati wa Halmashauri katika kuhakikisha zao la alizeti linakuwa moja ya mazao ya biashara ya kimkakati ndani ya Halmashauri.
Akitoa taarifa hiyo ya unu...
Posted on: January 31st, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe Deusdedith John Katwale akikabidhi mikopo hiyo katika Ofisi za Halmashauri kwa vikundi amewaasa wanakikundi wote kuwa waadirifu na kufanya kazi kulingana na maandiko waliyo...