Posted on: December 28th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imepokea fedha kiasi cha shilingi milioni 600 kutokana na kufanya vizuri kwenye utekelezaji wa kampeni ya ujenzi wa vyoo katika ngazi ya kaya, fedha hizo zitatumik...
Posted on: December 27th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato ndugu Mandia Kihiyo amezitaka kamati za ujenzi wa vyumba vya madarasa chini ya mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya ya UV...
Posted on: December 13th, 2021
Waziri wa mifugo na Uvuvi mhe. Mashimba Ndaki amesema serikali ya Tanzania bado inalitambua soko kuu la kimataifa la Kasenda kuwa ni miongoni mwa masoko matatu ya kimataifa ambayo yanat...