Posted on: July 18th, 2018
Serikali Wilayani Chato imezindua rasmi zoezi la utoaji wa huduma ya Chakula kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari.
Zoezi hilo limezinduliwa kwenye kilele cha juma la elimu kilichofanyika k...
Posted on: July 3rd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Chato mhe. Shaaban Ntarambe ameagiza kukamatwa na kuwekwa Mahabusu baadhi ya wanafunzi wanaopata mimba na kuficha ushaihidi wa wahusika wa mimba.
Agizo hilo amelitoa wakati akiong...
Posted on: June 27th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaaban Ntarambe ameendelea kuonya tabia ya baadhi ya wananchi wa Wilaya hiyo ya kuendekeza ulevi nyakati za asubuhi na mchana badala ya kufanya kazi.
Mkuu wa Wilaya a...