Posted on: March 1st, 2025
Mhe. Katibu Tawala Ndg. Mohamed Gombati atembelea na kukagua mradi wa Redio katika Halmashauri ya wilaya ya Chato unaotekelezwa kupitia mapato ya ndani na kuupongeza uongozi wa Halmashauri hiyo kwa ub...
Posted on: February 28th, 2025
Baraza la madiwani limeipongeza Bodi ya Shule na Uongozi wa Shule ya Sekondari Makurugusi kwa usimamizi uliotukuka wa mradi wa ujenzi wa miondombinu ya kidato cha tano na sita kwa fedha za serikali mw...
Posted on: February 26th, 2025
Watumishi katika Halmashauri ya wilaya ya Chato wameshirika katika upandaji wa miche 400 katika taasisi zote za umma ikiwa ni shamrashamra za kuukaribisha mwaka mpya 2025....