Posted on: July 11th, 2022
Zaidi ya wananchi 15,000 wa kata ya Bukome wilayani Chato wameanza kunufaika na ujenzi wa kituo cha kata hiyo kilichojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa gharama ya shilingi ...
Posted on: June 30th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Martha Mkupasi leo amekabidhi nyumba 20 zenye thamani ya shilingi milioni 860 kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato.
Akikabidhi nyumba hizo kwa...
Posted on: June 28th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamule amesema kutokana na fursa nyingi zilizopo wilayani Chato na miradi mingi mizuri inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu ya sita mara ...