Posted on: April 1st, 2019
Serikali mkoani Geita imeziagiza Halmashauri zote mkoani humo kutenga fedha kwa ajili ya upandaji wa miti katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hizo.
Agizo hilo limetolewa leo na Katibu Tawala W...
Posted on: March 8th, 2019
Serikali Wilayani Chato imeonya tabia ya baadhi ya wanafunzi wa kike kuwaficha wanaume wanaowapa ujauzito pindi wanapofikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Onyo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ch...
Posted on: March 5th, 2019
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Chato leo imefanya ziara yenye lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri kwa mwaka huu.
Mjumbe ...