Posted on: December 6th, 2022
Mhe. Mkuu wa wilaya ya Chato Bi. Martha Mkupasi akizungumzana wananchi wa katika eneo la shule ya Msingi Katemi alipokuwa akizindua kampeni ya Upandaji Miti ikiwa ni moja ya shughuli za kijamii katika...
Posted on: December 1st, 2022
Wilaya ya Chato inatarajia kutoa Chanjo kwa watoto 217,500 ifikapo tarehe 04 Disemba 2022 ikiwa ni Awamu ya Nne ya utoaji wa Chanjo ya Polio, ambayo hutolewa kwa watoto wenye umri wa chini ya mi...
Posted on: November 30th, 2022
Mhe. Mkuu wa wilaya ya Chato Bi. Martha Mkupasi azindua Mradi wa Maji ya Bomba kwa Wananchi wa vijiji vya Mnekezi na Songambele, unaotekelezwa na RUWASA - Chato
Akizindua Mradi huo Mhe. Mk...