Posted on: October 7th, 2019
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA WILAYA YA CHATO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 24 NOVEMBA 2019 UTAANZA S...
Posted on: October 1st, 2019
Wananchi wote wa Wilaya ya Chato mnatangaziwa kujiunga na CHF iliyoboreshwa kwa gharama za shilingi 30,000/= unapata matibabu kwa wanafamilia wasiozidi 6 katika zahanati, vituo vya afya na hospipitali...
Posted on: September 21st, 2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la pamba nchini wasikubali kuuza pamba yao chini ya bei elekezi ya shilngi 1200 kwa kilo.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewashauri wafanyabiashara w...