Posted on: May 11th, 2019
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amezindua rasmi ushirika wa wavuvi wa mwalo wa Kikumbaitale uliopo kata ya Kigongo wilayani hapa.
Akizindua ushirika huo Mhe. Ulega amewaasa wana...
Posted on: April 1st, 2019
Serikali mkoani Geita imeziagiza Halmashauri zote mkoani humo kutenga fedha kwa ajili ya upandaji wa miti katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hizo.
Agizo hilo limetolewa leo na Katibu Tawala W...
Posted on: March 8th, 2019
Serikali Wilayani Chato imeonya tabia ya baadhi ya wanafunzi wa kike kuwaficha wanaume wanaowapa ujauzito pindi wanapofikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Onyo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ch...