Posted on: December 9th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imeadhimisha miaka 63 ya Uhuru kwa kufanya usafi na kupanda miti katika stendi ya mabasi Muganza.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo Mheshimiwa Emmanuel Tag...
Posted on: December 7th, 2024
Katibu Tawala wilaya ya Chato Mkoani Geita Ndg Thomas Dimme kwa niaba ya Mkuu wa wilaya hiyo Mhe. Louis Peter Bura ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati, ameongoza kikao cha kamati ya lishe wilaya cha kup...
Posted on: November 8th, 2024
Mkulima Hodari wa zao la pamba msimu wa 2023-2024 Walwa Malimi, amekabidhiwa trekta jipya na Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe.Louis Bura lililotolewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu ...