Posted on: February 22nd, 2018
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Chato limepitisha makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi yenye jumla ya shilingi 55,213,189,051 kwa mwaka 2018/2019.
Akiwasilisha bajeti hiyo ya map...
Posted on: February 20th, 2018
Uzinduzi wa gereza jipya la Wilaya ya Chato kupunguza gharana za usafirishaji na msongamano wa waalifu katika magereza mengine ambayo yalikuwa yakihifadhi waalifu.
Akizungumza katika hafla fupi ya ...
Posted on: February 19th, 2018
Serikali ya Japan kupitia ubalozi wa Japan nchini Tanzania imekabidhi ghala la kuhifadhia samaki kwenye soko la samaki la kimataifa la Kasenda lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya Japa...