Posted on: February 28th, 2025
Baraza la madiwani limeipongeza Bodi ya Shule na Uongozi wa Shule ya Sekondari Makurugusi kwa usimamizi uliotukuka wa mradi wa ujenzi wa miondombinu ya kidato cha tano na sita kwa fedha za serikali mw...
Posted on: February 26th, 2025
Watumishi katika Halmashauri ya wilaya ya Chato wameshirika katika upandaji wa miche 400 katika taasisi zote za umma ikiwa ni shamrashamra za kuukaribisha mwaka mpya 2025....
Posted on: February 22nd, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Leo Tarehe 22/02/2025. Ameongoza zoezi la usafi wa Mazingira katika Uwanja wa Magufuli ikiwa ni utaratibu uliowekwa na Halmashauri wa kufanya usaf...