Posted on: October 1st, 2019
Wananchi wote wa Wilaya ya Chato mnatangaziwa kujiunga na CHF iliyoboreshwa kwa gharama za shilingi 30,000/= unapata matibabu kwa wanafamilia wasiozidi 6 katika zahanati, vituo vya afya na hospipitali...
Posted on: September 21st, 2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la pamba nchini wasikubali kuuza pamba yao chini ya bei elekezi ya shilngi 1200 kwa kilo.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewashauri wafanyabiashara w...
Posted on: September 10th, 2019
Na Richard Bagolele-Chato
Mji wa Bwanga uliopo takribani kilometa 50 kutoka mjini Chato na kilometa 60 kutoka mjini Geita unatajwa kuwa ni moja ya maeneo ambayo yapo kimkakati zaidi kukua ...