Posted on: April 25th, 2018
Wilaya ya Chato imeanza kutoa chanjo dhidi ya Saratani ya Mlango wa kizazi ambapo kwa kuanzia jumla ya wasichana 5339 watapatiwa chanjo hii.
Chanjo hii ambayo ni endelevu imetolewa na wiza...
Posted on: April 11th, 2018
Mbunge wa jimbo la Chato na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani amekikabidhi kundi cha Kilimo ni Mali cha kata ya Nyamirembe kiasi cha shilingi laki tano kwa ajili ya kununua ma...
Posted on: April 7th, 2018
Jumla ya miradi 11 yenye thamani ya shilingi milioni 944,020,000 imezinduliwa, kuwekewa jiwe la msingi na kutembelewa na Mwenge wa Uhuru 2018 Wilayani hapa.
Akizindua miradi hiyo kiongozi ...