Posted on: August 26th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Chato Kaskazini na Chato Kusini Ndg Abel Jonson Manguya, amewakabidhi wagombea wawili Fomu za Uteuzi za kugombea Ubunge ambao ni Ndg Pascal Lucas Lutandula kupitia...
Posted on: August 19th, 2025
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Chato, Ndg. Louis P. Bura leo Agosti 19, 2025 ametembelea na kukagua njia ya Mbio za Mwenge unaotegemewa kupokelewa wilayani humo tarehe 6 September 2025 ili kujionea maandalizi...
Posted on: August 18th, 2025
Uongozi wa chama cha Skauti Wilaya ya Chato, wameishukuru Serikali kupitia viongozi wa Wilaya hiyo kuwaruhusu vijana zaidi ya 200 wa Skauti kutoka shule zote za Sekondari na Msingi (W) kuweka kambi ya...